Presentation
Mafunzo ya mabingwa (Wahamasishaji) wa jinsia kwa SMEs za Tanzania: Kukuza ukuaji wa biashara kupitia ujumuishaji halisi wa jinsia
Kuimarisha uelewa wa washiriki kuhusu dhana za
usawa wa kijinsia.
• Kujengaujuzi wa vitendo wa kujumuisha masuala ya
jinsia katika uendeshaji wa biashara.
• Kuwawezeshawakufunzi wa biashara ndogo na za kati
(SMEs) kusambaza mafunzo yanayoleta mageuzi ya
kijinsia kwa timu zao na wasambazaji.
• Kukuzamazingira ya kazi jumuishi, yenye usawa, na
yenye tija.