Brochure

Genomic selection project: Kukidhi mahitaji ya wakulima wa baadaye kwa aina ya maharagwe

Ni kwa jinsi gani njia hii inayotumia maarifa ya genomic
inaweza kuongeza uzalishaji wa mazao kwenye
mashamba yanayomilikiwa na wanawake, wanaume, na
yanayomilikiwa kwa pamoja katika mazingira tofauti?